Bible Study Somo: Waamuzi 4 Katika kitabu cha waamuzi sura ya 4 tunaona maisha ya Debora. Debora alikuwa ni mwanamke mwenye vipaji mbalimbali na alivitumia vipawa vyake kwa ajili ya utukufu wa Mungu na kuwasaidia watu wake.
Alikuwa na mke, nabii, mwamuzi na kiongozi shujaa. Ushujaa wake ulitambulika na kila mtu hata Barak alikataa kwenda vitani bila kuambatana na Debora. Debora alitambua wito wake na alifahamu kuwa aliyemwita na mkuu sana kuliko jemedari wa jeshi lolote au mfalme yeyote.
Alijitoa kuwatumikia watu kwa kuamua matatizo yao kila siku, huku akiendelea na huduma ya kutabiri. Kazi ya kuamua matatizo ya watu inahitaji hekima na ufahamu wa hali ya juu, pia inahitaji kujitoa hasa kwa ajili ya wengine na kuwatanguliza.
Debora alikuwa na sifa zote hizi na ndio maana watu walimwamini na kumtumia. Mungu hutumia watu wenye moyo safi waliotayari kutumika kwa ajili ya kazi njema. Watu waliotayari kujikana na kujitolea kwa ajili ya kazi ya Mungu. Watu jasiri katika kufikisha ujumbe wa Mungu kwa watu bila kuangalia anaongea na nani.
Je, kwa kusoma sura hii umejifunza nini kuhusu Debora na mwanamke amchaye Mungu kwa ujumla?
There was an error while fetching comments, Please try again later
888888888
mmmmmmmmm
ooooooooo
nnnnnnnnn
ttttttttt
uuuuuuuuu
eeeeeeeee
sssssssss
wwwwwwwww
hhhhhhhhh
rrrrrrrrr
fffffffff
iiiiiiiii
ddddddddd
aaaaaaaaa
yyyyyyyyy
888
mmm
ooo
nnn
ttt
uuu
eee
sss
www
hhh
rrr
fff
iii
ddd
aaa
yyy
month
88
day
88888
GMT
hour
:
minute
second
am
pm
No Comments Yet...