error code:
Sounds FM
Sign-In
Verify Email Address Account Sign-Out
Menu
Homepage News
Program
Schedule Shows Specials
Program
Schedule Shows Specials
Staff

Embed The Radio Player In Your Website
Copy the code below and paste it into your website.

Download our desktop apps

Back to news

Faida Ya Kutii Sauti Ya Mungu.

2025-07-13 04:00:00
4
0

 

Nataka nikukumbushe juu ya faida ya kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu ulio hodari. Biblia inasema hivi:

“Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari…” (1 Petro 5:6). Mwaka 1998,nilipokua najiandaa kujiunga na shule ya upili,mama yangu marehemu sasa na baba mzazi walipata ajali mbaya  sana barabarani,ajali ambayo walinusurika kifo lakini mama mzazi alipata majeraha mabaya sana kipindi hicho hapa ndipo nilimuomba mungu kwa uponyaji wa mama,mama alipona kutokana na ajali hiyo,alitulea kwa njia ambazo zilimpendeza Mungu 23 baadae alikuja kufariki dunia mwaka wa 2021....

 

Mwaka wa 1998,Niliweza kuweka nadhiri Mungu akinipa uwezo kusoma nitamtumikia katika taaluma atakayo niweka ndani.

Nlipata mzigo mkubwa sana ndani yangu, wa kutaka kumtumikia Mungu. Kipindi hicho nilitumia muda mwingi, kumwomba Mungu ili anijulishe anachotaka nifanye, na anataka nikifanyeje. Nilijiunga na shule ya upili nikamua kumtumikia Mungu Katikati ya wanafunzi wenzangu, Mungu ameniheshimisha katika taaluma ya uana Habari maeneo tofauti.

Watu wengi wamesimama nami katika pengo kuniombea na Mungu polepole amekua ananiandaa kwa utumishi,Mtumishi wa Mungu Mtume Alexander Henry kutoka Marekani mwasisi wa Chuo cha Theolojia na Biblia cha Shield of Faith California alinitawaza kwa ofisi ya Mtume na kunipa fursa  adimu kusoma Theolojia na Biblia hapo kiwango cha Cheti,Nilipomaliza pale nilijiunga na chuo cha Biblia na Theolojia AXX cha Australia ninaendelea na elimu yangu kuna watu wamebeba mzigo mkubwa sana wa kuniombea juu ya unyenyekevu na kusimama nami! Kuna watu wamekua wakiniombea sana ndoto na mpango wa Mungu kutimia maishani mwangu, wazazi wangu wakati wote wamesimama nami katika hili, wakati bado nilikuwa sijaanza kumtumikia Mungu, ingawa moyoni mwangu nilikuwa na kiu kubwa  kumtumikia Mungu. 

Kufuatana na Mwanzo 41:32 na Kumbukumbu ya Torati 19:15, nilijua ya kuwa, jambo hilo kuletwa kwangu mara mbili, tena na watu wawili tofauti, ni msisitizo toka kwa Mungu, ya kuwa, limetoka kwake na linatakiwa litimizwe kwangu! Ufahamu wa msisitizo huo, ulinifanya niwashukuru wote,kuwashukuru kwa kuniombea unyenyekevu, na nikawaomba waendelee kuniombea juu ya jambo hilo! Pia, nikamshukuru Mungu sana, kwa kuniinulia waombaji wale. Na mimi mwenyewe, nikaanza kujiombea juu ya unyenyekevu. Na wakati huo huo, nikamwomba Mungu, anifundishe juu ya faida, zilizomo ndani ya mtu kunyenyekea “chini ya mkono wa Mungu ulio hodari”.

Na tangu nipokee barua hizo mbili, ni miaka 27 iliyopita hadi sasa! Namshukuru Mungu sana kwa kunijulisha na kunihimiza, na kunifundisha juu ya unyenyekevu. Sijafika bado kiwango ambacho Mungu anataka nikifikie kuhusu unyenyekevu, ila namshukuru Mungu, kwa kile ambacho tayari nimekwisha anza kukiona juu ya faida zake.

Faida mojawapo ya kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ni kupata uhalali na fursa ya kutumia “nguvu ya Mungu” iliyopo katika msalaba wa Yesu (1 Wakorintho 1:18), inayotokana na Yesu kunyenyekea na kutii “hata mauti, naam, mauti ya msalaba” (Wafilipi 2:8). Mungu akubariki kwa kuniombea. Na tunaomba uendelee kutuombea pia, juu ya huduma mbalimbali. 

Share This Article

Comments

Add Comment
Login to comment Verify your email to comment

No Comments Yet...

There was an error while fetching comments, Please try again later

888888888

mmmmmmmmm

ooooooooo

nnnnnnnnn

ttttttttt

uuuuuuuuu

eeeeeeeee

sssssssss

wwwwwwwww

hhhhhhhhh

rrrrrrrrr

fffffffff

iiiiiiiii

ddddddddd

aaaaaaaaa

yyyyyyyyy

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

ddd

aaa

yyy

month

88

88

day

88888

88888

GMT

88

88

hour

:

88

88

minute

:

88

88

second

am

pm

Program Lineup

Previous Article

OUR GREAT COMMISSION
Lets go and cause an Impact.Transformed to Transform.That is great Commission.
2025-06-15 21:00:00
30

Next Article

What Is the Gospel?
The elements of Paul’s gospel can be framed with five questions.
2025-07-14 19:00:00
5
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Privacy Policy Terms Of Service
Powered By Caster.fm Streaming Solutions.