Esta 1-10 Somo. Esta 1-10 Ukisoma kitabu chote cha Esta utaona jinsi ambavyo esta alisimama katika nafasi yake katika kulitimiza kusudi la Mungu. Pamoja na kuwa mtoto yatima, hakuruhusu hali yake ya zamani iingilie kati katika ule mpango wa Mungu wa maisha yake.
Alikuwa mnyenyekevu na kusikiliza mashauri ya wale aliokuwa chini yao na kwa kufanya hivi aliweza kufanya maamuzi ya busara. Pale alipoona hofu, alifunga na kuomba na kisha kupata ujasiri wa kukabiliana na mambo makubwa magumu. Katika kitabu cha esta tunajifunza mambo mengi, yakiwemo:
1. Kuwa wanyenyekevu na wasikivu kwa wale wanaotulea na kutuhudumia
2. Kuwa tayari kujitoa kwa ajili ya watu wengine
3. Kufunga na kuomba pale tunapokabiliana na maamuzi muhimu ya maisha
4. Kutoka kwa mordekai tunajifunza kuwa tayari kuwalea na kuwahudumia ndugu zetu wanaoachwa na wazazi wao, kuwalea kama watoto wetu.
5. Kiburi hupelekea maangamizi
6. Ukiwa mwaminifu na kutenda mema hakika utalipwa usipozimia moyo
7. Maombi yanabadilisha msiba na maombolezo kuwa sherehe na vicheko. Je wewe umejifunza nini baada ya kusoma kitabu hiki?
There was an error while fetching comments, Please try again later
888888888
mmmmmmmmm
ooooooooo
nnnnnnnnn
ttttttttt
uuuuuuuuu
eeeeeeeee
sssssssss
wwwwwwwww
hhhhhhhhh
rrrrrrrrr
fffffffff
iiiiiiiii
ddddddddd
aaaaaaaaa
yyyyyyyyy
888
mmm
ooo
nnn
ttt
uuu
eee
sss
www
hhh
rrr
fff
iii
ddd
aaa
yyy
month
88
day
88888
GMT
hour
:
minute
second
am
pm
No Comments Yet...