error code:
Sounds FM
Sign-In
Verify Email Address Account Sign-Out
Menu
Homepage News
Program
Schedule Shows Specials
Program
Schedule Shows Specials
Staff

Embed The Radio Player In Your Website
Copy the code below and paste it into your website.

Download our desktop apps

Back to news

Maandalizi ya Fungate

2025-06-23 13:00:00
4
0

Baada ya kutoa orodha ya vitu vya kuhakikisha unakuwanavyo unavyoenda kwenye fungate (honeymoon), nimegundua kuwa maharusi wengi hawaelewi ni muda gani wa kujiandaa na kuandaa mahali pa kwenda kwa ajili ya fungate. Fungate ni kitu muhimu sana kwa ajili ya watu wanaooana hivyo ni lazima jambo hili lipewe kipaumbele linachostahili.

Pale mnapoanza mipango ya harusi ndio wakati muafaka wa kuanza kupanga kuhusu jambo hili. Ni muhimu kila mmoja wenu akawa huru kusema anataka mahali pa aina gani na mkubaliane kwa pamoja kwa kuzingatia vigezo mbalimbali. Kuna wakaka wengine wanapenda kuwafanyia wenzi wao surprise, hata kama ni surprise ni vizuri ukajua anapendelea nini usije ukamvunja moyo siku us kwanza ya ndoa yenu.

Mambo muhimu ya kuzingatia ni pamoja na:

1. Gharama ziwe zinalingana na uwezo wenu. Hapa ni lazima utambue kuwa jambo hili ni la mara moja hivyo ni bora uwe na harusi ya kawaida ili muweze kupata hela nzuri ya kwenda mahali pazuri kwa ajili ya fungate.

2. Eneo lililotulia mbali na maeneo mnayoishi Haitakuwa vyema kuamka asubuhi kwenda kupata kifungua kinywa siku ya kwanza ya ndoa yenu na kukutana na mama mkwe. Tafuta mahali patulivu, pembezoni mwa mji mbali na mahali mnapoishi. Kama mnampango wa kwenda mji mwingine msisafiri mara baada ya harusi, mpunzike kwanza angalau siku mbili ndipo msafiri.

 3. Msitumie simu zenu angalau kwa wiki ya kwanza ili mpate muda wa kuwa na faragha ya kutosha. Unaweza kuwasha simu ukakutana na mambo ya kikazi au kijamii yakakuondolea furaha au concentration. Fungate no kwa ajili yenu kuwa wawili pamoja na kufahamiana kwa undani. Inashangaza sana kuona mtu anafunga ndoa jumapili halafu jumatatu unamkuta online facebook. Unapata wapi huo muda? Na kwanini? Fungate ni jambo la kulidhamini sana, ni muda wa kumpa mwenzi wako muda wako wote na usikivu wako wote na ukaribu wote. Ukiwa honeymoon inakubidi akili yako yote ijae mwenzi wako na maisha mnayoyaendea, achana na simu utaikuta tu baada ya kuweka msingi imara wa ndoa yako.

Kuna watu wanahoji umuhimu wa kwenda hotelini kwa ajili ya fungate. Mwili wa binadamu unahitaji kula, kukaa mahali safi na kuvaa nguo safi. Sasa mkienda nyumbani itabidi muwe na muda wa kupika, kufua na kufanya usafi, mambo haya yanawapunguzia muda wa kuwa intimate pamoja ukizingatia ndio mara ya kwanza. Hivyo ni vyema mkawa hotelini ili mpate muda mzuri wa kuwa pamoja.

Share This Article

Comments

Add Comment
Login to comment Verify your email to comment

No Comments Yet...

There was an error while fetching comments, Please try again later

888888888

mmmmmmmmm

ooooooooo

nnnnnnnnn

ttttttttt

uuuuuuuuu

eeeeeeeee

sssssssss

wwwwwwwww

hhhhhhhhh

rrrrrrrrr

fffffffff

iiiiiiiii

ddddddddd

aaaaaaaaa

yyyyyyyyy

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

ddd

aaa

yyy

month

88

88

day

88888

88888

GMT

88

88

hour

:

88

88

minute

:

88

88

second

am

pm

Program Lineup

Previous Article

OUR GREAT COMMISSION
Lets go and cause an Impact.Transformed to Transform.That is great Commission.
2025-06-15 21:00:00
30

Next Article

Bajeti ya Matumizi
Kabla sijatoa sample, ni vyema tukatambua kuwa bajeti ina makundi matatu ya muhimu:
2025-06-25 16:00:00
4
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Privacy Policy Terms Of Service
Powered By Caster.fm Streaming Solutions.