error code:
Sounds FM
Sign-In
Verify Email Address Account Sign-Out
Menu
Homepage News
Program
Schedule Shows Specials
Program
Schedule Shows Specials
Staff

Embed The Radio Player In Your Website
Copy the code below and paste it into your website.

Download our desktop apps

Back to news

**MUNGU HUFANYA NJIA PASIPO NA NJIA***

2025-07-27 04:00:00
2
0

 

Wakati fulani tunakutana na majaribu, matatizo, shida na vikwazo kiasi cha kudhani hakuna njia nyingine ya kutuwezesha kusonga mbele. Leo naomba nikukumbushe kuwa Mungu hufanya njia na kuleta suluhisho wakati ambapo huonekana kama hakuna kabisa njia au suluhisho.

Mungu siku zote huleta utatuzi kwa tatizo lolote tunalokutananalo na kufanya mlango kwa jaribu lolote linalotupata kwa kuridhia kwake (1 Wakorintho 10:13; Mwanzo 22:9-14) Usiambiwe kitu fulani hakiwezekani ukaamini, kwani siku zote ipo njia. Huwezi kushindwa usipokata tamaa.

Jiamini, chukua hatua na usikate tamaa katika kutafuta utatuzi wa tatizo, shida au hali yoyote inayokusumbua katika maisha yako kwani kila muda, kila hali, kila tukio na kila jambo huleta uwezekano na fursa ya kufanya kitu kitakachokuwezesha kusonga mbele na kuleta mabadiliko katika maisha yako.

Kataa kukwamishwa au kuyumbishwa na matatizo na vikwazo toka kwa mwovu shetani ambaye tunashindana naye kila siku na badala yake mwombe Mungu akujaze ufahamu na hekima za Kiroho ili uweze kuzijua na kuzifuata njia zake; (Kutoka 33:13; Zaburi 86:11) Naye atakuonyesha njia na asipokuonyesha atakuwezesha kuifanya njia, kuvivuka vikwazo na kuzishinda changamoto unazokutana nazo. Katika Jina la Yesu Kristo ninakuombea mafanikio katika hili!

Share This Article

Comments

Add Comment
Login to comment Verify your email to comment

No Comments Yet...

There was an error while fetching comments, Please try again later

888888888

mmmmmmmmm

ooooooooo

nnnnnnnnn

ttttttttt

uuuuuuuuu

eeeeeeeee

sssssssss

wwwwwwwww

hhhhhhhhh

rrrrrrrrr

fffffffff

iiiiiiiii

ddddddddd

aaaaaaaaa

yyyyyyyyy

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

ddd

aaa

yyy

month

88

88

day

88888

88888

GMT

88

88

hour

:

88

88

minute

:

88

88

second

am

pm

Program Lineup

Previous Article

OUR GREAT COMMISSION
Lets go and cause an Impact.Transformed to Transform.That is great Commission.
2025-06-15 21:00:00
30

Next Article

"Our God Builder"
The term "Builder" is often used as a metaphor for God, emphasizing His role as the one who planned and designed the uni
2025-07-28 08:00:00
3
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Privacy Policy Terms Of Service
Powered By Caster.fm Streaming Solutions.