error code:
Sounds FM
Sign-In
Verify Email Address Account Sign-Out
Menu
Homepage News
Program
Schedule Shows Specials
Program
Schedule Shows Specials
Staff

Embed The Radio Player In Your Website
Copy the code below and paste it into your website.

Download our desktop apps

Back to news

Mwanamke Mapishi

2025-06-22 04:00:00
3
0

 

Mwanamke ni lazima ujue kupika. Hakuna kisingizio, mama hajanifundisha kupika, sina muda wa kupika n.k. Kupika kwa mwanamke ni heshima, ni sifa na ni wajibu.

Kama unaweza kupata muda wa kuwa facebook basi unaweza kupata muda wa ku google mapishi mbalimbali na kujifunza. Sio rahisi ukapika kila siku lakini haifai mwanamke wiki nzima hujapika kabisa nyumbani kwako.

Jitahidi kwa hali yoyote uwe ndio mpishi bora kuliko msichana wako wa kazi, hii inaleta heshima. Sio siku ukiingia jikoni watu wanatamani umwachie tu dada apike.

 Jifunze mapishi mbalimbali kuanzia breakfast, appertizers, main course, soup, juices, disserts n.k. na kutoka maeneo mbalimbali yani Indian, Thai, American, Tanzanian n.k. Sio kazi ya siku moja lakini tangu unapoanza kujua kupika anza kijifunza kidogo kidogo, waweza weka ratiba kila mwezi unajifunza mapishi mapya mawili au moja baada ya mwaka utakuwa mbali sana.

Tumia internet vizuri yaani itakufanya uwe chief cook hadi watu wa nyumbani kwako watamani uwapikie kila siku. Anza sasa, anza leo, anza usingoje kesho. Pia mnaweza kuwa mnajifunza pamoja na nashost wako wakaribu mara moja kwa mwezi badala ya kupiga tu story mkazipiga jikoni mkijifunza mapishi. Inasaidia sana kuboresha urafiki na kuongeza ujuzi.

Share This Article

Comments

Add Comment
Login to comment Verify your email to comment

No Comments Yet...

There was an error while fetching comments, Please try again later

888888888

mmmmmmmmm

ooooooooo

nnnnnnnnn

ttttttttt

uuuuuuuuu

eeeeeeeee

sssssssss

wwwwwwwww

hhhhhhhhh

rrrrrrrrr

fffffffff

iiiiiiiii

ddddddddd

aaaaaaaaa

yyyyyyyyy

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

ddd

aaa

yyy

month

88

88

day

88888

88888

GMT

88

88

hour

:

88

88

minute

:

88

88

second

am

pm

Program Lineup

Previous Article

OUR GREAT COMMISSION
Lets go and cause an Impact.Transformed to Transform.That is great Commission.
2025-06-15 21:00:00
30

Next Article

DONT GIVE UP.
So hang in there. Keep doing the good only you can do. Keep showing up. God’s timing is never off...
2025-06-23 12:00:00
5
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Privacy Policy Terms Of Service
Powered By Caster.fm Streaming Solutions.