error code:
Sounds FM
Sign-In
Verify Email Address Account Sign-Out
Menu
Homepage News
Program
Schedule Shows Specials
Program
Schedule Shows Specials
Staff

Embed The Radio Player In Your Website
Copy the code below and paste it into your website.

Download our desktop apps

Back to news

Thamani ya Mwanamke

2025-06-22 04:00:00
4
0

 

Mungu aliona si vyema adamu aishi peke yake akaamua kumtafutia msaidizi wa kufanana naye. Wanawake tumeumbwa kwa kusudi kamili la Mungu na tunajukumu la kuwa wasaidizi.

Nafasi ya mwanamke katika jamii, familia, ndoa, kanisa na taifa ni kubwa sana. Angalia jinsi wanawake wanavyohangaika na watoto, kuanzia wakiwa tumboni hadi wakiwa watu wazima.

Mwanamke ni mjenzi wa familia, mwanamke ni muunganishi wa familia na mwanamke ni mrutubishaji wa familia. Moyo wa mwanamke unauwezo mkubwa sana, yani hawa nakaa nafikiria moyo wa mwanamke nashindwa kuuelewa kabisa, wanawake wanatendwa kila siku lakini wanasamehe, wanajitahidi kuachilia japo ni ngumu na wanaamua kuendelea kutenda mema.

Unakuta mama anagundua mumewe anatembea nje, na hata anafikia kulala nje, mama huyu atalia, ataumia lakini atampikia chakula, atamfulia, atamuombea ataamua kumsamehe na hata akiletewa mtoto wa nje anamtunza.

Hivi ni wanaume wangapi wanaoweza kuwasamehe wake zao wanaotembea nje? Na pale anaporudia na kurudia na wakati mwingine kulala nje??? Mungu awakumbuke wanawake wote.

Mungu asikie kilio chako unacholia ndani ya shuka na bafuni. Mungu akuonekanie na kukurejeshea furaha ya maisha. Mungu akutetee wewe ukiyepewa mimba na kuachwa.

 Mungu akutunze wewe uliyetelekezwa na mume na ukaachiwa watoto. Mungu awe mume wa wajane wote. Mungu ailainishe mioyo ya waume wote, waitambue thamani ya wake walionao, Mungu awafunike macho yao wasione wengine zaidi ya wake zao.

Mungu alituumba kwa kusudi, tufurahie uanamke wetu na kamwe tusikubali changamoto za maisha zituondolee furaha. Mungu aliona dunia haitakuwa njema bila sisi ndio maana akaamua kutuumba, sisi ni wa thamani saanaaa….

Share This Article

Comments

Add Comment
Login to comment Verify your email to comment

No Comments Yet...

There was an error while fetching comments, Please try again later

888888888

mmmmmmmmm

ooooooooo

nnnnnnnnn

ttttttttt

uuuuuuuuu

eeeeeeeee

sssssssss

wwwwwwwww

hhhhhhhhh

rrrrrrrrr

fffffffff

iiiiiiiii

ddddddddd

aaaaaaaaa

yyyyyyyyy

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

ddd

aaa

yyy

month

88

88

day

88888

88888

GMT

88

88

hour

:

88

88

minute

:

88

88

second

am

pm

Program Lineup

Previous Article

OUR GREAT COMMISSION
Lets go and cause an Impact.Transformed to Transform.That is great Commission.
2025-06-15 21:00:00
30

Next Article

DONT GIVE UP.
So hang in there. Keep doing the good only you can do. Keep showing up. God’s timing is never off...
2025-06-23 12:00:00
5
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Privacy Policy Terms Of Service
Powered By Caster.fm Streaming Solutions.