error code:
Sounds FM
Sign-In
Verify Email Address Account Sign-Out
Menu
Homepage News
Program
Schedule Shows Specials
Program
Schedule Shows Specials
Staff

Embed The Radio Player In Your Website
Copy the code below and paste it into your website.

Download our desktop apps

Back to news

Wanawake wa Biblia – Dorcas

2025-06-22 04:00:00
5
0

Matendo 9: 36-42 Huko Jopa kulikuwa na mwanafunzi mwanamke aliyeitwa Tabita au kwa lugha ya Kigiriki, Dorkasi, yaani paa.

Huyu mama alikuwa mkarimu sana, akitenda mema na kuwasaidia maskini.

 37.Hata hivyo aliugua akafa. Wakamwosha na kumlaza katika chumba cha ghorofani.

38.Kwa kuwa Jopa hapakuwa mbali sana na Lida, wanafunzi waliposikia kuwa Petro yuko Lida, waliwatuma wenzao wawili wakamwambie, “Tafadhali njoo huku pasipo kukawia.”

 39.Kwa hiyo Petro akaharakisha akaenda nao Jopa. Alipowasili wakampeleka hadi kwenye chumba alipokuwa amelazwa marehemu Dor kasi. Wajane wengi walikuwa wamemzunguka marehemu wakilia na kuonyesha mavazi ambayo Dorkasi alikuwa amewashonea alipokuwa hai.

40.Petro akawatoa wote nje, kisha akapiga magoti akaomba; akaugeukia ule mwili akasema, “Tabita, Amka!” Dorkasi akafumbua macho na alipomwona Petro, akaketi.

41.Petro akamshika mkono akamsaidia kusimama. Ndipo alipowaita wale waamini na wajane aka wakabidhi Dorkasi akiwa hai.

42.Habari hizi zilienea sehemu zote za Jopa. Na watu wengi wakamwamini Bwana. Biblia inamwelezea Dorkas kama mwanamke mkarimu sana ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa Yesu. Tunaambiwa kuwa katika maisha yake alikuwa mtu mwenye kutenda mema na kuwasaidia maskini, hapa hatujaambiwa kuwa yeye alikuwa ni tajiri la.

Moyo wake wa upendo kwa wengine na uanafunzi wake mwema kwa Yesu ulimfanya kuwa na huruma kuwaona watu wanakosa nguo za kuvaa na ndipo akaamua kuwashonea watu hao nguo wengi wao wakiwa ni wajane. Aliifanya huduma hii kwa moyo wa upendo sana ndio maana pale alipougua na kufa wajane wengi walimzunguka na nguo zao wakilia na waliposikia petro yupo karibu walimwita ili aweze kumuombea apate uzima maana walikuwa bado wanamwitaji sana.

Dorkas aliitambua huduma ambayo Mungu alikuwa amempa na alimtumikia Mungu kwa uwezo wake wote katika huduma yake na kuwagusa watu kwa kiasi kikubwa sana. Haijalishi ni huduma gani Mungu ameiweka ndani yako, yakupasa kuifanyia kazi na kumtumikia Mungu kwa uwezo wako wote.

Huduma sio lazima uwe mchungaji, mwinjilisti au mwimbaji, waweza kuwa mkarimu wa wageni na wasio na makazi, kuwaangalia wajane na yatima, kuwategemeza watumishi wa Bwana, kuiangalia nyumba ya Bwana n.k. Pia haikupasi kuwatangazia watu wewe unafanya nini bali watu waone kile unachokifanya na wamtukuze Mungu kwa hilo.

 1Timotheo 4:14 Usiache kutumia kipawa ulichonacho, ambacho ulipewa kwa neno la unabii wakati wazee wa kanisa walipokuwekea mikono Matendo yetu na yaonyeshe tu watumishi wa Mungu, ili kwa neema ya Mungu tuweze kuongezewa siku za kuishi kuendelea kuifanya kazi ya Mungu.

Share This Article

Comments

Add Comment
Login to comment Verify your email to comment

No Comments Yet...

There was an error while fetching comments, Please try again later

888888888

mmmmmmmmm

ooooooooo

nnnnnnnnn

ttttttttt

uuuuuuuuu

eeeeeeeee

sssssssss

wwwwwwwww

hhhhhhhhh

rrrrrrrrr

fffffffff

iiiiiiiii

ddddddddd

aaaaaaaaa

yyyyyyyyy

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

888

mmm

ooo

nnn

ttt

uuu

eee

sss

www

hhh

rrr

fff

iii

ddd

aaa

yyy

month

88

88

day

88888

88888

GMT

88

88

hour

:

88

88

minute

:

88

88

second

am

pm

Program Lineup

Previous Article

OUR GREAT COMMISSION
Lets go and cause an Impact.Transformed to Transform.That is great Commission.
2025-06-15 21:00:00
30

Next Article

DONT GIVE UP.
So hang in there. Keep doing the good only you can do. Keep showing up. God’s timing is never off...
2025-06-23 12:00:00
5
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025
Privacy Policy Terms Of Service
Powered By Caster.fm Streaming Solutions.